Spy Phone App ya:

Android

iOS

Sifa za Simu Pelelezi


Mahitaji ya simuUtahitaji toleo lolote lile la Android la juu kuliko 2.3 - GINGERBREAD au iPhone/iPad yoyote iliyo na toleo la juu la iOS kuliko la 6.x.

Sanikisha Simu PeleleziJambo la kwanza unapaswa kuwa na smartphone mkononi ili uweze kusanikisha programu hii. Baada ya kusanikisha programu hiyo unapaswa kuikimbiza ili uweze kusajili simu yako. Unapokimbiza programu hii itakubidi uingize anwani yako ya barua pepe na nenosiri. Ili uweze kusajili simu unahitaji mwunganisho wa mtandao. Barua pepe na nenosiri lako yatahifadhiwa kwa seva yetu na utapaswa kuyatumia unapotaka kuingia katika tovuti yetu. Ikiwa simu ilikuwa imesajiliwa hapo awali, barua pepe itajazwa na anwani yako ya barua pepe kutokana na usanikishaji wa hapo awali na itakubidi uingize nenosiri kutokana na usanikishaji wa hapo awali. Baada ya kuingiza maelezo yako ya utambulisho ya kuingia ndani ni lazima utaje jina la simu hii. Baada ya programu hii kusanikishwa kwenye smartphone na tayari inatuma batli kwa seva yetu (ikiwa simu ina mwunganisho wa mtandao). Baada ya masaa machache unaweza kuingia kwa tovuti ya Simu Pelelezi ili uweze kuona batli.

Kutuma batliIli kuwezesha Spy Phone kuweza kutuma batli kwa seva yetu ni lazima uwezeshe mtandao kwa smartphone. Programu yetu itajaribu kutuma kila baada ya kipindi fulani batli kwa seva yetu, lakini ikiwa hakuna mwunganisho wa mtandao batli zote zitapotea. Zitatumwa kwa seva ya Simu Pelelezi wakati mwunganisho wa mtandao utakapopatikana.

Batli za MMS/SMSProgramu ya Simu Pelelezi hurekodi MMS na SMS zilizotumwa na kupokelewa kwa kutumia programu chaguo-msingi ya ujumbe za SMS na MMS. Utaona msimamo wa GPS (ya simu ambayo umesanikisha program hiyo) wakati MMS / SMS ulipokelewa / ulitumwa. Namba ya simu inayotoka itajumuishwa na mawasiliano ya simu hiyo. Itahifadhi ujumbe za SMS na MMS. Kwa MMS, itahifadhi pia picha yoyote itakayokuwa imeambatanishwa, na utakuwa na uwezo wa kuona au kushusha picha hiyo.

Batli za simuProgramu itafuatilia simu zinazoingia na zinazotoka nje. Jina na muda wa mazungumzo ya simu yatahifadhiwa. Kwa simu ya Android,utaweza kusikiliza mazungumzo halisi ya simu. Unaweza kurekodi karibu mazungumzo matatu ya simu wakati wa kipindi cha majaribio na mazungumo yote ya simu yanayolipiwa kwa ukamilifu kabla ya kupata huduma hii kutolewa.(Android pekee!).

Batli za GPSBatli za GPS hurekodiwa kwa kila simu inayopigwa au kupokelewa,SMS na batli za mfumo.Lakini zinaweza pia kurekodiwa kila baada ya kipindi fulani – kwa aina hizi za batli za GPS,utakuwa na uwezo wa kufikia tovuti. Ili batli hizi ziwe sahihi unapaswa kuwezesha GPS (na ishara ya GPS) au angalau uwezeshe Wi-Fi au Mtandao wa simu ya Mkononi. Unapotumia Wi-fi au Mtandao wa simu ya Mkononi, mihimili ya GPS yanaweza kutokuwa sahihi kabisa.

Batli za KivinjariProgramu za Simu Pelelezi hufuatilia pia shughuli za kivinjari. Jina kuu la domain na tarehe wakati ilipofikiwa zitahifadhiwa. Tunashughulika na kivinjari chaguo-msingi la Android,S-browser(Galaxy S-browser),Chrome(ya Android) na Safari browser (ya iPhone/iPad).

WhatsappTumefanikiwa kuweza kupata ujumbe za Whatsapp bila ya kupata UFIKIVU KAMILI WA FAILI NA AMRI za simu yako. Ili kukamilisha mchakato huu utahitaji kuunganisha upya simu kwa kompyuta yako na kukimbiza programu kwenye PC yako.

Programu zingine za kijamiiSimu Pelelezi inaweza kudondoa ujumbe kutoka kwa programu au mawasiliano tofauti ya kijamii. Kwa ujumbe za Facebook,Viber,Skype,Line,Snapchat,Hangouts,Twitter,Kik na Tango utahitaji kupata UFIKIVU WA FAILI NA AMRI ya simu unayolenga.(kwa ajili ya vifaa vya Android).Bila ufikivu huu programu yetu haiwezi kufikia faili hizi.

Mazingiria – kurekodi sauti katika hali ya mandhariKuanza na toleo la saba la Simu Pelelezi (toleo jipya la Android) na toleo la kwanza la iOS,unaweza kurekodi mazingira sawa sawa kwa kutuma SMS kwa simu iliyolengwa.Unaweza kutumia sifa hii tu ikiwa umehusisha sifa hii ya kurekodi mazungumzo ya simu na mazingira katika mkataba wako wa kujiunga.

Amri za SMS – Udhibiti hai

Kwa kupitia amri za SMS unaweza kuwasha upya mtandao,asha mtandao, simamisha mtandao,washa upya GPS,washa upya mipangilio,piga picha,piga picha mbele,orodha za waasiliani, na orodha za programu za simu iliyolengwa ambayo inakimbiza mfumo wa uendeshaji wa Android.Ujumbe hizi ziliundwa kama suluhisho la kidhibiti cha mzazi au la kujaribu kupata simu ikiwa itaibiwa au kupotea. Tafadhali tumia amri za SMS pekee kwa madhumuni haya. Hatuchukui jukumu lolote ikiwa amri hizi zinatumika kwa madhumuni mengine zaidi kuliko zile ambazo ziliundiwa.

Batli za mfumoProgramu ya Simu Pelelezi hufuatilia batli za uzimaji wa stima au umeme. Inarekodi pia batli za simu zinapolia kama kupanga simu itetemeke au iwe kimya. Unaweza pia kuona wakati kadi ya SIM ilipobadilishwa.

Batli za usanidiUtakuwa na chaguo la usanidi mbali mbali katika menyu ya akaunti katika tovuti. Utakuwa na uwezekano wa kulemaza batli za Gps,kulemaza batli za Kivinjari na kubadilisha kipindi cha muda cha kutuma data kwa seva.

GharamaKupakua programu haina malipo. Mtu yeyote anaweza kupakua programu kutoka kwenye tovuti yetu. Bila malipo yoyote, batli zitatumwa kwa tovuti ikiwa utasanikisha programu. Kwa OS ya Android , mara ya kwanza, unapoingia ndani ya tovuti, kwa muda wa siku tatu utaweza kuona batli zako. Ikiwa umefurahishwa na programu, baada ya kipindi cha jaribio itakubidi ulipe ili uweze kupata ufikivu kamili kwa batli kwenye tovuti. Ikiwa utajisajili kwa kipindi cha muda mrefu zaidi utapata kipunguzo (hadi 50% kwa mwaka). Ikiwa unapanga kusajili simu nyingi utupata pia kipunguzo (hadi 50% kwa simu kumi au zaidi). Ili kujiunga kwa mwezi moja, bei ya kujiunga kimsingi ni $ 10.00. Ikiwa unahitaji pia sifa ya kurekodi mazungumzo ya simu au kurekodi mazingira, utahitaji kulipa $ 20.00 kwa mwezi. Na vipunguzo vyote, unaweza kusajili simu 10 kwa mwaka kwa bei ya $ 200.00.