Spy Phone App ya:

Android

iOS

Simu Pelelezi ya iPhone/iPad

Simu Pelelezi inakimbia kwa iPhones/iPads na iOS v6.x - 8.4. Inaweza kupakuliwa na kusanikishwa BILA MALIPO kwa chombo chochote ambacho mfumo wake wa uendeshaji umebadilishwa.

Kwa kutumia toleo la iOS la Simu Pelelezi yetu kwa programu ya iPhone / iPad utaweza kufuatilia karibu shughuli sawa kama zile za Android, isipokkuwa kurekodi upigaji wa simu. Sifa hii haipatikani kwa mfumo wa uendeshaji wa iOS.
Sakinisha programu ya Simu Pelelezi kutoka kwa: Cydia au kwa kutumia iFile. Tunapendekeza Cydia.


Simu Pelelezi iOS - Cydia installer


Kabla ya kuendelea kusanikisha programu yetu ya Simu Pelelezi utahitaji kuhakikisha ya kwamba program ya Cydia inapatikana kwa skrini ya nyumbani ya simu inayolengwa.Ikiwa huwezi kuipata basi inamaanisha ya kwamba mfumo wa uendeshaji wa iDevice yako haijabadilishwa na huwezi kutekeleza hatua hizo kuanzia chini.

Mchakato wa kusakinisha


Hatua #1 – Ongeza chanzo mpya cha Cydia- Fungua program ya Cydia kutoka kwa simu inayolengwa ;
- Chagua sehemu ya “Vyanzo” kutoka upande wa chini wa skrini ;
- Bofya kitufe cha “Hariri” ;
- Chagua chaguo la “Ongeza” ;
- Ingiza URL ifuatayo: https://www.spy-phone-app.com/repo
- Bofya kitufe cha “Ongeza Chanzo” ;
- Ngoja hadi vyanzo vitasasishwa na bofya kitufe cha “Rudi kwa Cydia”

Hatua #2 – Kupakua na kusakinisha Programu ya Simu Pelelezi- Chagua chanzo kipya (www.spy-phone-app.com) ongezeko za hatu za hapo awali ;
- Abiri kwa folda ya www.spy-phone-app.com;
- Chagua faili yaSPAPP Monitoring ;
- Bofya kitufe cha “Sakinisha” ;
- Thibitisha operesheni ;
- Chagua chaguo cha “Rudi kwa Cydia” baada ya kumaliza mchakato wa kusanikisha

Hatua #3 – Sajili akaunti yako- Chagua ikoni ya Spy Phone icon kutoka kwa skrini ya nyumbani ;
- Chagua ikiwa unataka kuonyesha taarifa kwa mwambaa wa hali ;
- Ingiza anwani yako ya barua pepe na chagua nenosiri ;
- Kubalii Masharti ya huduma;
- Chagua jina la chombo unacholenga ;
- Sasa unaweza kuondoka kutoka kwa program .


Ili kuhakikisha ya kwamba umesakinisha program kwa ufanisi tunapendekeza KUZIMA na KUWASHA chombo.


MAELEZO:1. Unaweza kuondoa chanzo cha "www.spy-phone-app.com" baada ya kumaliza kupakua na kusakinisha suluhu letu la kufuatilia
2.Unapaswa kufikia tovuti kwa kutumia chombo chochote (tarakilishi/ pc / simu) kwa kuangalia batli zilizokusanywa kutoka kwa chombo kilicholengwa.