Spy Phone App ya:

Android

iOS

Simu pelelezi

Simu pelelezi ni programu ya upelelezi ya kizazi kijacho cha smartphone. Programu hii ya mobile tracker hurekodi simu en omgevingsgeluidenzinazoingia na zinazotoka, sms na mazingira. Programu hii husaka maeneo ya gps ,shughuli ya kivinjari na ujumbe kutoka kwa programu kama vile Whatsapp, Facebook, Viber, Skype na Line. Na kwa jaribio la bure tunayotoa, unaweza pia kutahini programu.


Unapaswa kupakua na kusanikisha progamu hii kwa simu ambayo unataka kufuatilia. Sajili akaunti yako kwa kukimbiza program hii kwa simu.
Pakua
Baada ya kusajili akaunti yako,unapaswa kuingia ndani ili kuangalia kwa makini shughuli ya simu.
Ingia


 • Itumie kwa madhumui ya
 • Kufuatilia kutoka mbali
 • Jinsi ya kuitumia

Itumie kwa madhumui ya

Programu hii ni nzuri sana kwa:

 • Kufuatilia watoto wako.Unaweza kufuata watoto wako kwa madhumuni ya kuwazuia wasipatwe na madhara.
 • Kufuatilia wafanyakazi wako. Unaweza kufuatilia mienendo ya wafanyakazi wako kwa madhumuni ya kuona ikiwa wanatumia simu zao au wakati wao kwa sababu zingine ambazo zisizo za kazi.
 • Kucheleza data kutoka kwa simu yako .
 • Kusaka simu yako ikiwa imeibiwa.

Kufuatilia kutoka mbali

Simu pelelezi inatumia mwunganisho wa mtandao wa smartphone ili kuweza kutuma data kwa seva yetu. Baada ya kufanya hivyo unaweza kufuatilia batli kutoka mbali kutoka kwa seva yetu. Utahitaji kuingia kwa seva yetu kwa kutumia barua pepe na nenosiri uliyotumia wakati uliposajilisha programu hii kwa smartphone.

Jinsi ya kuitumia

 • Sanikisha. Sanikisha programu kwa simu unayotaka kufuatilia. Unaweza kusankisha programu bila malipo na utakuwa na jaribio la bure.GPS itakuwa daima inafuatiliwa bila malipo yoyote.

 • Ingia. Programu ya kufuatilia itapakia kimya shughuli kwa akaunti yako salama ya mtandao. Unaweza kutazama shughuli zote ikiwa utaingia kwa seva hii kwa kutumia akaunti ambayo uliounda wakati ulipo sanikisha programu hii.

Sifa za Simu pelelezi

Kurekodi mazungumzo ya simu

Hurekodi mazungumzo ya simu. Uko na mazungumzo 3 ya bure ya kurekodiwa.

Simu mfuatiaji

Hufuatilia simu zinazoingia na zinazotoka – Mfuatiaji wa simu za rununu.

Sms mfuatiaji

Hufuatilia ujumbe za sms zinazoingia na zinazotumwa . Sms Mfuatiaji.

Jaribio la bure

Tahini Simu pelelezi na uinunue ikiwa umeridhika.

Whatsapp mfuatiaji

Whatsapp spy messages. Haihitaji UFIKIVU WA FAILI NA AMRI. Spy on Whatsapp chats

Gps mfuatiaji

Hufuatilia BILA MALIPO mihimili ya gps kila baada ya muda Fulani.Eneo la mahali simu inapigiwa au sms huonyeshwa.

Kufuatilia kutoka mbali

Batli huhifadhiwa kwa seva ambayo unaweza kufikia kupitia kwa mtandao.

Inaunganisha na waasiliani

Unaweza kuona jina la anayewasiliana na id ya kila sms au batli ya simu.

Amri kutoka mbali

Hudhibiti simu kwa kutumia amri za sms.

Inafanya pamoja na iOS

Programu yetu hukimbia kwa iPhone/iPad na iOS 6.X kuendelea.

Inafanya pamoja na Android

Programu yetu hukimbia kwa Android 2.3 kuendelea.

Picture tracker

Hufuatilia picha zinazopigwa na simu yako.

Batli za Mms

Hufuatilia ujumbe za mms zinazoingia na zinazotumwa. Simu mfuatiaji hii huhifadhi ujumbe na picha.

Kivinjari mfuatiaji

Hufuatilia shughuli za kivinjari.

Hufuatilia simu nyingi

Unaweza kusanidi program yetu kwa simu nyingi.

Usanidi za batli

Uko na uwezo wa kusanidi jinsi batli zinatumwa.

Facebook mfuatiaji

Hufuatilia ujumbe za Facebook. Haihitaji UFIKIVU WA FAILI NA AMRI.

Batli za mfumo

Hufuatilia wakati simu huashwa upya au wakati hali-tumizi ya mdundo umebadilishwa.

Batli za kalenda

Hufuatilia matukio mapya katika kalenda.

Skype mfuatiaji

Hufuatilia ujumbe za Skype. Haihitaji UFIKIVU WA FAILI NA AMRI.

Batli za Viber

Hufuatilia ujumbe za Viber. Haihitaji UFIKIVU WA FAILI NA AMRI.

Kuzuia wizi

Taarifa ya ubadilishaji wa Sim card, Lock phone, Kengele.

Batli ya waasiliani

Hufuatilia ikiwa mwasiliani ameongezwa.

Programu iliyosadifishwa

Utumiaji mdogo wa umeme na muda mfupi wa utekelezaji.

Mazingiria

Hurekodi mazingira kwa kutumia amri za sms.

Line

Hufuatilia ujumbe za Line. Haihitaji UFIKIVU WA FAILI NA AMRI.

Programu

Hufuatilia usanidi/kutosanidi za program na utumiaji wa programu.

Zuia apps

Unaweza kuzuia programu.

Zuia namba

Unaweza kuzuia namba za simu zinazopigwa au sms.

Zuia tovuti

Unaweza kuzuia tovuti kwa kutumia msingi wa neno msingi au url ya tovuti.

Onyo

Unaweza kusanidi onyo kwa msingi wa namba za simu au maneno msingi.

Ujumbe za Kik

Haihitaji UFIKIVU WA FAILI NA AMRI.

Tango

Ujumbe za Tango na batli za simu. Haihitaji UFIKIVU WA FAILI NA AMRI.

Taarifa ya Wifi

Unaweza kuona taarifa wakati simu inaunganishwa kwa mtandao wa wifi.

Kufuta kutoka mbali

Futa chombo chako kutoka mbali.

Ujumbe za Snapchat

Haihitaji UFIKIVU WA FAILI NA AMRI.

Hangouts

Haihitaji UFIKIVU WA FAILI NA AMRI.

Video

Hufuatilia videos zilizochukuliwa na simu.

Twitter

Haihitaji UFIKIVU WA FAILI NA AMRI.


 • Spy phone review

  Hii ni programu nzuri sana ya kufuatilia mtoto wako.Inakufanya ujue kila kitu kinachoendelea naye. Taarifa ambayo unapaswa kuutumia kwa uaminifu .

  Isha K.
 • Mobile spy review

  Hi ni programu ya spy ni nzuri sana kwa simu za mkononi. Ilinisaidia kujua mambo mengi ambayo singejua bila programu hiyo. Kweli tunahitaji kuwa na program hii asanteni.

  Edson T.
 • Cell spy review

  Kwa kweli napenda programu ya spy na naipendekeza kwa marafiki wangu. Utumishi wake ni kama kutumia whatsapp kila siku.

  Amanda C.
 • Cell tracker review

  Programu nzuri kabisa ya cell tracker. Ni muhimu ya kwamba wasaidzi wanajibu maswali. Asanteni sana kwa usaidizi.

  John S.
 • Phone tracker review

  Naamini ya kwamba programu hii ya mobile tracker ingekuwa namba moja,na rasilimali yake nyepesi ya kumbukumbu,chaguo rahisi,ubora wa rekodi za data,sifa za maendeleo na wasaidizi wazuri.

  Dian G.
 • Mobile tracker review

  Hii ndiyo programu nzuri sana ya phone tracker ambayo niko nayo. Naipenda. Mmefanya kazi nzuri kabisa.Wasaidizi ni wazuri.Tafadhali kamwe msiondoke.Naipenda.

  Sam E.